Ajali ya barabarani huko Simba Moto, Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Watu wa 13 wamefariki dunia wengine 32 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea katika wilaya za Muheza na Korogwe mkoani Tanga.
Your browser doesn’t support HTML5