Hasara kutokana na mafuriko Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Mvua nyingi zimesababisha mafuriko na maafa makubwa katika sehemu mbali mbali za Kenya lakini kwa mji wa mombasa mvua kidogo tu husababisha kero kwa wakazi.