Upanuzi wa miji ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wengi wanahama maeneo ya mashambani na kuelekea katika miji mkuu ya Afrika. Huko Kenya imesababisha wamiliki mashamba kujenga nyumba kwenye mashamba yao