Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Septemba 25, 2022 Local time: 01:22

AFCON 2017

Michuano ya 31 ya mataifa ya Afrika ya mwaka 2017 inafanyika nchini Gabon. Michuano hii ni ya soka kwa wanaume ikiwa inaandaliwa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF). Michuano ya mwaka 2017 inashirikisha nchi za Gabon, Guinea - Bissau, Algeria, Zimbabwe, Ivory Coast, Togo, Burkina Faso, Cameroon, Tunisia, DRC, Senegal, Morocco, Uganda, Ghana, Mali na Misri.

KUNDI A

RankCountryPoints
3 Gabon3
2 Burkina Faso5
1 Cameroon5
4 Guinea Bissau1

KUNDI B

RankCountryPoints
1 Senegal​7
3 Algeria2
4 Zimbabwe1
2 Tunisia6

KUNDI C

RankCountryPoints
1 DRC 7
3Côte d’Ivoire2
4 Togo1
2 Morocco6

KUNDI D

RankCountryPoints
1 Ghana6
3 Mali2
2 Egypt7
4 Uganda1
XS
SM
MD
LG