Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 28, 2022 Local time: 06:42

WHO : Ukosefu wa chanjo ya COVID-19 imeongeza vifo Afrika


WHO : Ukosefu wa chanjo ya COVID-19 imeongeza vifo Afrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:05 0:00

Shirika la Afya Duniani lathibitisha kuongezeka kwa vifo ni kwa sababu ya kukosekana kwa chanjo, wakieleza chini ya asilimia 3 ya wananchi wake ndio wamepatiwa chanjo ya COVID-19.

XS
SM
MD
LG