Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 08:05

WFP yazawadiwa tuzo ya Amani ya Nobel 2020


WFP yazawadiwa tuzo ya Amani ya Nobel 2020
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:20 0:00

Wakati wa kutangaza tuzo hiyo iliyokwenda kwa Shirika la Chakula Duniani, Berit Reiss-Andersen, mwenyekiti wa Kamati ya Nobel amesema tuzo hiii itasaidia kukabiliana na janga la chakula duniani kutokana na janga la corona.

XS
SM
MD
LG