Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 07:36

Wanasiasa Brazil waomboleza kifo cha mfalme wa soka Pele


Wanasiasa Brazil waomboleza kifo cha mfalme wa soka Pele
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:18 0:00

Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Brazil zilianza kwa kukaa kimya kwa dakika moja ili kuomboleza kifo cha mfalme wa soka Pele.

Maelfu ya mashabiki wa soka ulimwenguni waendelea kumiminika huko Uwanja wa mpira wa Santos Vila Belmiro mjini Santos, Brazil kushiriki katika maombi ya saa 24 na kutoa heshima zao za mwisho kwa gwiji wa soka Pele aliyefariki Desemba 29. Maombolezo hayo yanaisha Jumanne na yatashuhudia jeneza la Pele likiondoka uwanjani na kutembezwa mitaani katika jiji hilo na hatimaye kupelekwa makaburini ambapo mfalme huyo wa soka atazikwa katika jumba maalum.

XS
SM
MD
LG