Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 04:42
VOA Direct Packages

Dunianileo : Aprili 21 : Wamarekani waridhia afisa polisi Chauvin kukutwa na hatia


Dunianileo : Aprili 21 : Wamarekani waridhia afisa polisi Chauvin kukutwa na hatia
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:01 0:00

Wamarekani waeleza kuridhishwa na uamuzi wa Baraza la Mahakama kumpata na hatia afisa polisi wa zamani Derek Chauvin katika kesi ya mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd.

Human Rights Watch laitaka baraza la kijeshi la mpito Chad kuheshimu haki za binadamu.

Dozi 60,000 za AstraZeneca za chanjo dhidi ya COVID-19 zawasili Goma, DRC.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG