No media source currently available
Wakati Afrika ikiadhimisha uhuru wa habari duniani, waandishi Tanzania waeleza bado zipo sheria zinazotoa mianya ya kuminywa uhuru wa vyombo vya habari nchini.