Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 09, 2024 Local time: 04:32

Wachimba migodi haramu 225 wakamatwa Afrika Kusini

Wanafamilia na marafiki wa watu watatu waliopotea wanasubiri nje ya lango la Vantage Goldfields Limited la Lily Mine karibu na Barberton, Afrika Kusini, Ijumaa Februari 5, 2016.
Wanafamilia na marafiki wa watu watatu waliopotea wanasubiri nje ya lango la Vantage Goldfields Limited la Lily Mine karibu na Barberton, Afrika Kusini, Ijumaa Februari 5, 2016.

Polisi wa Afrika Kusini siku ya Jumapili walisema kuwa wachimba migodi haramu 225 walikamatwa baada ya kulazimishwa kutoka kwenye eneo la migodi lililotelekezwa kutokana na ukosefu wa chakula na maji.

Msemaji wa polisi aliiambia AFP siku ya Jumapili kwamba watu hao wamekamatwa.

Walilazimishwa kutoka nje kwa sababu ya njaa na upungufu wa maji mwilini, polisi walisema, baada ya mashirika ya usalama kufunga njia zinazotumiwa na washirika wao kupeleka chakula na maji kwenye mgodi.

Forum

XS
SM
MD
LG