Upatikanaji viungo

VOA60 Afrika

VOA60 Afrika:Ethiopia yazindua mfumo mpya wa huduma ya kielektroniki ya kulipia kwa simu, ijulikanao kama M-Birr, kukuza ukuwaji wa kifedha


Ethiopia yazindua mfumo mpya wa huduma ya kielektroniki ya kulipia kwa simu, ijulikanao kama M-Birr, ili kukuza ukuwaji wa kifedha; na zaidi ya watu wawili wafariki kutokana na kuchomeka na oto kufwatia ghasia zilolenga maduka yanayomilikiwa na wanyarwanda mjini Lusaka.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG