Wandishi habari wa Sauti ya Amerika wamethubutu kutoka nje licha ya upepo mkali kutokana na dharuba ya theluji kuchukua picha za mwanzo za dharuba ya kihistoria kukumba kaskazini mashariki ya Marekani.
Siku ya Kwanza ya Dharuba ya theluji Washington 2016

1
Barabara kuu kuingia jiji la Washington kupitia kusini mashariki wakati wa dharuba kali ya theluji 2016. (P. Datcher/VOA)

2
Jengo la bunge la Marekani wakati upepo mkali ukipeprusha theluji.

3
The Wilbur J. Cohen Federal Building, where the Voice of America is headquartered, is seen through the snow (S. Hossain/VOA)

4
Licha ya theluji nyingi kumwagika watt walikusanyika katika uwanja wa kituo kikuu cha treni Union Station jijini Washiongton na kujenga mzee wa theluji.