Gasia nchini Sudan Kusini.
1
wafanyakazi wa WFP wakipakua msaada wa vyakula kutoka eneo la umoja wa mataifa ambako watu wengi waliokoseshwa makazi wamehifadhiwa.
2
mwanamke aliyekoseshwa makazi akitembea na box la chakula akiwa amebeba kichwani kutoka kituo cha
umoja wa mataifa mjini Juba.
umoja wa mataifa mjini Juba.
3
Picha ya mwanamke aliyekoseshwa makazi akiwa katika harakati za kutengeza chakula kwenye uwanja wa umoja wa mataifa alikochukua hifadhi
4
familia kadhaa ya watu walikoseshwa makazi katika kambi ya sudan kusini ndani ya jengo la UNMISS huko jabel katika ukanda wa juba.