Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 05, 2022 Local time: 23:36

Vijana DRC waanza kupewa mafunzo ya kivita kupambana na waasi


Vijana DRC waanza kupewa mafunzo ya kivita kupambana na waasi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:21 0:00

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limepambana vikali na waasi wa M23 katika mji wa Kibumba ulioko kilomita 20 kaskazini wa mji wa Goma.

Mapigano hayo yanaendelea kwa siku ya pili, huku jeshi la DRC likisema limefanikiwa kuwarudisha nyuma waasi wa M23 waliokuwa na lengo la kuuteka mji wa Kibumba ambao ni mji mkuu wa Kivu Kaskazini unaopakana na Rwanda. Sikiliza repoti kamili kutoka kwa mwandishi wetu akieleza hali ya wananchi na hatua serikali inayochukua ...

XS
SM
MD
LG