Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 14:27

Vidhibiti dhidi ya Trump vyawasilishwa katika kesi ya uvamizi


Vidhibiti dhidi ya Trump vyawasilishwa katika kesi ya uvamizi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:11 0:00

Timu ya waendesha mashtaka katika kesi ya uchochezi na uvamizi wa Bunge la Marekani inayosikilizwa na Seneti dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump imekamilisha kuwasilisha vidhibiti, huku picha za video za kusikitisha zikiwekwa hadharani katika kesi hiyo.

XS
SM
MD
LG