No media source currently available
Wiki hii kutoka Washington Mary Mgawe anakuletea habari kuhusu upasuaji wa mtoto Dominique kutoka Ivory Coast ambaye alizaliwa na miguu minne na matatizo ya uti wa mgongo.