Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 23:42

UNHCR yasema watu milioni 2 wamekoseshwa makazi Ethiopia


UNHCR yasema watu milioni 2 wamekoseshwa makazi Ethiopia
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:19 0:00

Mkimbizi Juma, raia wa Eritrea, ni kati ya wakimbizi waliokimbia vita na familia zao akieleza namna vita kati ya serikali ya Ethiopia na waasi wa Tigray ilivyotenganisha familia, ambapo Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR linasema watu milioni 2 hawana makazi.

XS
SM
MD
LG