Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 18:34

Uganda kuchuja wagombea Novemba


Rais Museveni na mpinzania wa siku nyingi Kizza Besigye

Tume ya uchaguzi nchini Uganda imesema itawachuja wanaowania urais kati ya terehe 3 na 4 mwezi Novemba, huku kampeni rasmi zikitarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka hadi mwezi Februari 10, mwakani.

Uchaguzi Uganda
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:51 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mwenyekiti wa tume hiyo Dr. Badru Kigundu ameeleza kwamba kati ya watu 49 waliochukua fomu za kuania urais, kumi na mmoja wamerejesha fomu hizo.

Wakati huo huo, madai ya wizi wa kura ndani ya chama tawala cha NRM katika uchaguzi wa Meya wa Uganda yaendelea kutishia kukigawanya chama hicho.

Kwa siku ya pili Jumatano makao makuu ya chama hicho mjini Kampala yalikuwa katika machafuko kutokana na mvutano wa kuteua mtu atakayegombania umeya wa Kampala kupiti chama hicho.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG