Upatikanaji viungo

Maendeleo ya mbio za kuelekea uchaguzi wa rais Marekani kabla ya 'Super Tuesday'


Jumanne hii ni muhimu sana wa Mrepublican Donald Trump ambaye ameshinda majimbo matatu mfululizo na anatazamiwa kushinda katika majimbo mengine 10 katika siku hii inayojulikana kama 'Super Tuesday.' Trump yuko nyuma katika jimbo moja tu la Texas ambako ndio anakotokea mpinzani wake Seneta Ted Cruz.

Makundi

XS
SM
MD
LG