Wakati Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika foleni ya kupiga kura katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumatano Octoba 28,2020.
Uchaguzi Mkuu 2020 : Zoezi la kupiga kura laendelea Tanzania
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli Wapiga Kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea karatasi za kupiga kura kutoka kwa Muwandishi Yussuf Haji katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar.
6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga kura.