Upatikanaji viungo

Video

Malala ateuliwa balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa


Washington Bureau, hmwanaharakati mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel Malala Yousafzai ateuliwa kua balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa akijihusisha na wasichana kupata elimu ya msingi. Vile vile tunaangalia mzozo unaokumba kampuni ya ndege ya United Airlines kumtoa nje kwa nguvu mmoja wa abiria wake.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG