Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 01, 2021 Local time: 01:03

Tanzania yazindua mfumo wa kununua tiketi za basi mtandaoni


Tanzania yazindua mfumo wa kununua tiketi za basi mtandaoni
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:00 0:00

Wadau wa sekta ya usafiri wapongeza mfumo mpya wa abiria kununua tiketi kupitia mtandao wa simu wakisema utaondoa kero nyingi zinazo wakabili wakati wanapotaka kusafiri ikiwemo kupandishiwa bei.

XS
SM
MD
LG