Marekani yashinda kombe la dunia wanawake baada ya kuifunga Japan 5-2 July 5, 2015
Fainali za kombe la dunia: US vs Japan
Marekani yashinda kombe la dunia wanawake baada ya kuifunga Japan 5-2 July 5, 2015
1
Wachezaji wa Japan wakiliwazana baada ya kupoteza mechi ya fainali.
2
Mashabiki wakifuatilia mechi hiyo katika televisheni kutoka National Harbor, Maryland
3
Mashabiki wa Japan wakiwa hawaamini macho yao wakati wanafuatilia mechi hiyo katika televisheni.
4
Timu ya Marekani wakiwa wanasherehekea na kikombe baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Japan.