No media source currently available
Mabingwa watetezi wa ligi ya soka ya wanawake Marekani, Washington Spirit, siku ya Jumapili ilikumbana na hisia zisizo za kawaida za kupoteza mechi katika msimu wa kawaida katika uwanja wa nyumbani.