Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Mei 10, 2021 Local time: 20:54

Simba na Al Ahly zapambana katika mechi ya mwisho Cairo


Simba na Al Ahly zapambana katika mechi ya mwisho Cairo
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:26 0:00

Simba ya Tanzania ambayo inashikilia nafasi ya juu katika kundi A kwenye mechi za Champion League iko uwanjani Cairo, Ijumaa, ikipambana na Al Ahli katika mechi ya mwisho ambapo matokeo ya mchezo huo hautabadili msimamo wa mwisho wa kundi A.

XS
SM
MD
LG