Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Juni 20, 2024 Local time: 16:14

Uingereza yawati mbaroni washukiwa watano wa njama za ugaidi

Afisa polisi akifanya doria nje ya kituo cha treni ya chini ya ardhi cha Leystonstone mashariki mwa London, Uingereza.
Afisa polisi akifanya doria nje ya kituo cha treni ya chini ya ardhi cha Leystonstone mashariki mwa London, Uingereza.

Polisi wa Uingereza wamewakamata watu watano kwa shutuma za kuandaa mashambulizi ya ugaidi.

Maafisa wanasema ukamataji huo ni sehemu uchunguzi uliojumuisha Ubelgiji na Ufaransa.

Maafisa wanasema wanaume watatu na wanawake watatu waliwekwa katika kizuizi huko Birmingham jama Alhamis, huku mwanamme mmoja alishikiliwa leo kwenye uwanja wa ndege wa Gatwick mjini London.

XS
SM
MD
LG