Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 21, 2020 Local time: 00:07

Shirika la Ndege la Ethiopian laripoti hasara ya zaidi ya dola milioni 500


Shirika la Ndege la Ethiopian laripoti hasara ya zaidi ya dola milioni 500
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:43 0:00

Ethiopia yakabiliwa na changamoto ya kulipia madeni ya ndege zake ambazo zimesimamisha safari za abiria kutokana na janga la corona na hivyo kulisababishia hasara ya dola za Marekani milioni 550.

XS
SM
MD
LG