Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 17, 2021 Local time: 00:39

Ripoti ya UNODC yaeleza athari za matumizi ya mihadharati kwa vijana


Ripoti ya UNODC yaeleza athari za matumizi ya mihadharati kwa vijana
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:23 0:00

Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya madawa na uhalifu (UNODC) yaeleza matumizi ya madawa ya cocaine, heroine na dawa zinazotolewa na kwa masharti ya daktari ni mara tatu zaidi kwa vijana kati ya miaka 18-24 ukilinganishwa na wale wa miaka 36 na zaidi.

XS
SM
MD
LG