VOA Swahili inakuletea ripoti maalum ya hali ya usalama huko Beni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, juu ya hali halisi ya usalama na hatua zinazo chukuliwa na serikali kukabiliana na waasi wanaodaiwa kufanya mauaji na uharibifu wa mali za watu kama inavyoelezewa na wakazi wake.
Facebook Forum