Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 23:53
VOA Direct Packages

Duniani Leo : Aprili 26 : Rais Biden kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge


Duniani Leo : Aprili 26 : Rais Biden kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden apanga kutoa hotuba yake ya kwanza katika kikao cha pamoja cha bunge wiki hii.

- Wapiganaji wa Somalia wachukua baadhi ya maeneo katika mji mkuu Mogadishu siku moja baada ya mapigano kuzuka baina yao na vikosi vya serikali.

- Kampuni kubwa ya mafuta ya Ufaransa Total imesitisha operesheni zake katika eneo kubwa la uchimbaji wa mafuta kaskazini mwa Msumbiji.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG