Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:55

Kenya: Mafanikio ya kituo cha usafirishaji miraa kaunti ya Meru

Kenya: Mafanikio ya kituo cha usafirishaji miraa kaunti ya Meru
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:49 0:00

Kaunti ya Meru katika mji wa Maua ni kituo kikubwa cha kusafirisha miraa nchi nzima. Bidhaa hiyo ya miraa inaletwa kwa wingi katika soko hili na kupakiwa katika magari pamoja na bidhaa nyingine ambazo husambazwa katika masoko mbalimbali.

Ungana na mwandishi wetu katika sehemu hii ya tatu ya makala hii akieleza jinsi usambazaji wa bidhaa hii unavyofika ndani na nje ya nchi. Pia inaangaza juu ya kilimo mbadala na juhudi za wanasayansi kuwashawishi wakulima kuchanganya kilimo cha miraa na mazao mengine na faida walizopata... #meru #kenya #mjiwamaua #miraa #kilimo #soko #njeyanchi #wataalam #kilimomchanganyiko #voa #voaswahili #duniani Less

XS
SM
MD
LG