Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Obama amteua Merrick Garland kuwa jaji mkuu


Rais Barack Obama amemteua jaji wa mahakama ya rufaa ya serikali kuu Merrick Garland kujaza nafasi ya Mahakama Kuu iliyowachwa wazi na baada ya kifo cha Jaji Antonin Scalia mwezi uliopita.

XS
SM
MD
LG