No media source currently available
Rais Barack Obama wa Marekani anaendelea kukosolewa na wapinzani wake na baadhi ya wanachama wa chama chake kwa kutochukua hatua kubwa zaidi huko Irak kupambana na uasi.