Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 19:55

Mshukiwa wa mauaji ya mwanariadha wa Kenya apandishwa kizimbani


Mshukiwa wa mauaji ya mwanariadha wa Kenya apandishwa kizimbani
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:29 0:00

Mshukiwa wa mauaji ya mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop, Ibrahim Rotich amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza huko Rift Valley katika mji wa Iten, karibu na nyumba waliokuwa wakiishi.

XS
SM
MD
LG