Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 26, 2021 Local time: 12:16

Mchakato wa kumuondoa madarakani Rais Trump waanza


Mchakato wa kumuondoa madarakani Rais Trump waanza
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:01 0:00

Wademokrat katika Baraza la Wawakilishi Marekani waanza mchakato wa kumuondoa Rais wa Marekani Donald Trump wakati zimebakia siku chache kumaliza awamu yake ya uongozi.

Marais wa Tanzania na Msumbiji wajadiliana masuala ya kidiplomasia na biashara kati ya nchi hizo mbili.

Na akaunti kadhaa za mitandao ya kijamii za chama kinachotawala Uganda zafungwa.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG