Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Novemba 27, 2020 Local time: 18:45

Marekani yamteua balozi wake nchini Venezuela


Marekani yamteua balozi wake nchini Venezuela
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:43 0:00

Marekani imemteua na kumuidhinisha balozi wake nchini Venezuela kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka kumi licha ya kutokuwepo wanadiplomasia katika ubalozi wake jijini Caracas.

XS
SM
MD
LG