Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 25, 2020 Local time: 08:33

Marekani : Suala la vifo 220,000 latarajiwa kuibuka katika Mdahalo


Marekani : Suala la vifo 220,000 latarajiwa kuibuka katika Mdahalo
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:54 0:00

Wagombea urais Donald Trump Mrepublikan na Joe Biden Mdemokrat wanatarajiwa kujadili kati ya mambo mengine janga la corona na vifo 220,000 vilivyotokea Marekani kutokana na ugonjwa huo.

XS
SM
MD
LG