No media source currently available
Ifahamu falsafa ya kituo cha Kiislam cha Dar Annoor kilichopo Virginia, Marekani katika kuandaa futari kila siku ya mwezi wa Ramadhani, huku Waislam wakitoa ushuhuda wa athari ya ukarimu huu.