Upatikanaji viungo

VOA Mitaani

Rais Magufuli akimtembelea makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar


Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam. Maalim Seif yupo hotelini hapo kwa mapumziko baada ya kutolewa hospitali ya Hindu Mandal jana jioni alipokuwa amelazwa.

XS
SM
MD
LG