Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 25, 2021 Local time: 08:14

Lakers waibwaga Rockets kwa point 120 kwa 102


Lakers waibwaga Rockets kwa point 120 kwa 102
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:36 0:00

Timu ya Los Angeles Lakers wameendelea na wimbi la ushindi bila ya kupoteza mechi yoyote katika ligi ya mpira wa kikapu Marekani na kuishinda timu ya Huston Rockets kwa kupata ushindi wa pointi 120 kwa 102.

XS
SM
MD
LG