Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 07, 2022 Local time: 22:38

Kustaafu kwa Roger Federer kwaelezwa ni sikitiko katika medani za michezo

Kustaafu kwa Roger Federer kwaelezwa ni sikitiko katika medani za michezo
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:02 0:00

Uamuzi wa Roger Federer kustaafu kucheza mpira wa Tennis umeifanya siku kuwa mbaya kwa medani za michezo kama ilivyoelezwa na mpinzani wake mkubwa Rafael Nadal.

XS
SM
MD
LG