No media source currently available
Ikiwa sasa ni mwezi wa tatu toka mgomo wa madaktari uanze nchini Kenya, hali bado ni mbaya sana hususan kwa wagonjwa. Tunaangalia hali ilivyo sasa nchini Kenya.