Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 19, 2024 Local time: 06:14

Kipchoge ashinda mbio za kupasha misuli Enschede, Uholanzi


Kipchoge ashinda mbio za kupasha misuli Enschede, Uholanzi
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:45 0:00

Bingwa mtetezi wa Olimpiki na nyota anayeshikilia rekodi ya dunia, Eliud Kipchoge wa Kenya ameshinda mbio za marathon zilizofanyika huko Twente Airport mjini Enschede, Uholanzi Jumapili.

XS
SM
MD
LG