Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 16, 2021 Local time: 09:18

Kinyozi wa marais


Kinyozi wa marais
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:21 0:00

Kwa zaidi ya miaka 50 kinyozi mmoja mjini Washington,Diego D'Ambrosio, amekuwa akiwakata nywele watu mbali mbali mashuhuri na kukpekekea kuwa gwiji wa kazi yake. Umaarufu wake umemsababisha kuwa kinyozi wa marais kadhaa wa Marekani na hata viongozi wa nchi za nje Anajulikana kama kinyozi wa marais.

XS
SM
MD
LG