Hatua hiyo imefikiwa baada ya majaribio ya jeshi la Korea Kaskazini yaliyo fanyika kwa kufikia himaya yote ya Korea Kusini na zoezi la shambulizi la kiufundi la nyuklia la mapema wiki hii.
Wizara ya mambo ya nje ya Korea Kusini, Ijumaa imesema kwamba imeweka vikwazo kwa kampuni ya Korea Kaskazini ya Ryu Kyong Development, na watu watano wanao husishwa na kampuni hiyo ikijumuisha mkuu wake Ryu Kyong-chol, na matawi mengine manne yenye ofisi zake nchini China.
Forum