Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 06:53

Jeshi la Ethiopia lakanusha madai ya kuuwawa raia


Jeshi la Ethiopia lakanusha madai ya kuuwawa raia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:06 0:00

Jeshi la Ethiopia limekanusha taarifa zilizosambaa ya kwamba mashambulizi yake ya angani yaliyofanywa hivi karibuni katika Jimbo la Tigray yaliuwa raia na kulenga maeneo ya makazi ya watu.

XS
SM
MD
LG