Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:17

Jenerali Colin Powell afariki dunia akiwa na miaka 84


Jenerali Colin Powell afariki dunia akiwa na miaka 84
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Wamarekani waomboleza kifo cha Mmarekani Mweusi wa kwanza kushikilia wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani kilichotokana na matatizo yaliyosababishwa na COVID-19.

XS
SM
MD
LG