Waziri Mkuu wa New Zealand Jacina Arden, ambaye aikuwa mmoja wa kizazi cha kwanza kuchaguliwa kama kiongozi na kuwa ni kiongozi wa kimataifa wa mrengo wa kushoto. Jacinda ametangaza anaachia madaraka baada ya miaka mitano na nusu wa kutumikia wadhifa huo. Viongozi kadhaa wa dunia walitoa heshima zao kwa ubora wa uongozi wake na kuwa mwanasiasa asiyependa mchezo. Akijizuia kulia, Arden aliwaambia wana habari huko Napier kwamba Februari 7 itakuwa ni siku yake ya mwisho kama Waziri Mkuu. ...
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo