Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Biashara kuelekea kuapishwa kwa Trump


Maelfu ya wageni watakuwa hapa Washington DC Januari 20 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mteule Donald Trump kama rais wa 45 wa Marekani. Kutokana na sherehe hizo, biashara hapa mjini washington zinatarajiwa kushamiri.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG