Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Septemba 27, 2020 Local time: 02:24

Duniani Leo Agosti 13. 2020


Duniani Leo Agosti 13. 2020
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Joe Biden mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Demokratik na mgombea mwenza wake Kamala Harris waanza kampeni ya pamoja iliyoongeza maoni mengi.

- Jeshi la Msumbiji linaendelea na mapambano na kikundi cha waasi nchini humo.

-Tanzania yaanzisha kampeni ya kijeshi dhidi ya waasi wa msumbiji katika mpaka wake.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG